Selcom Experience Center. Karibu yako zaidi!
Selcom Experience Centers ni vituo maalumu vya Selcom vinavyotumika kutoa huduma na maelezo kwa wateja mbalimbali. Kupitia Selcom Experience Center mteja au mshirika wetu ataweza kupata huduma za Selcom Pesa, Selcom Huduma Wakala, Selcom Lipa, duka.direct na zaidi. Angalia orodha inayoendelea kukua kila siku ya Selcom Selcom Experience Centers hapo chini kujua iliyo karibu nawe zaidi ili uweze kufika na kupatiwa huduma kwa haraka na urahisi zaidi #SelcomInatosha
Weka - Toa Selcom Pesa
Pata Selcom Pesa Mastercard
Pata Selcom POS
Weka Selcom floti
Vifaa vya Selcom POS
Pata Selcom Lipa Namba
Jiunge na duka.direct
Ofisi Kuu ya Mauzo
Bibi Titi Mohamed Rd
Uhuru Heights, Ghorofa ya Pili.
Piga Bure 0800 714 888
At Selcom, our consumers are priority. We have a team 24/7 on ground ready to assist and help you. Drop us a message and we will respond as soon as possible.
CONTACT CENTER
Call: 0800 784 888
WhatsApp: +255 699 077 988
Email: help@selcom.net
CORPORATE ENQUIRIES
Email: info@selcom.net